Noela Giftlove

Noela Giftlove ni mwimbaji chipukizi wa muziki wa injili. Ni mwenyeji wa Arusha lakini kwa sasa yuko mkoani mara kikazi. Ana nyimbo tatu zote zikiwa katika mfumo wa audio. Moja ya kiu ya mwimbaji huu chipukizi ni kuona wadada wakipiga vyombo na kufanya muziki wa 'live'. Hii ni kutokana na kwamba yeye ana kipaji si cha kuimba tu bali hata kupiga vyombo vya muziki.

            


Previous
Next Post »