SOW

John 4:23

Menu
  • Mwanzo
  • Nyimbo
  • Mafundisho
  • Matukio
    • Picha
    • Video
  • Package of Today
Nje ya Kristo usijivune

Nje ya Kristo usijivune

Mr. Wicklif M. Benjamin 03:24:00 Add Comment
Mr. Wicklif M. Benjamin
 Nimegundua katika maisha,  njia tuiendeayo ni Mungu pekee anayeijua.... kuna leo yetu ambayo miaka kadhaa  nyuma hakukua na mazingira yenye...
Read More
Tusijihubiri sisi, tumhubiri Kristo

Tusijihubiri sisi, tumhubiri Kristo

Mr. Wicklif M. Benjamin 03:21:00 Add Comment
Mr. Wicklif M. Benjamin
 Tukijihubiri sisi tunaamsha hisia za watu ambazo Baada ya muda hupotea. Tukimuhubiri Kristo, hatuamshi hisia ila huleta wokovu kwa kila ana...
Read More
TUSIHUBIRI INJILI KWA HASIRA

TUSIHUBIRI INJILI KWA HASIRA

Mr. Wicklif M. Benjamin 03:20:00 Add Comment
Mr. Wicklif M. Benjamin
  Mungu mwenyewe aliichukia dhambi lakini hajawahi kutumia ukali kuiondoa dhambi. Kwa upendo alimtoa Yesu ili aziondoe dhambi zetu. Ikiwa Mu...
Read More
Kila unaujaza moyo na akili yako ndicho utakachotoa

Kila unaujaza moyo na akili yako ndicho utakachotoa

Mr. Wicklif M. Benjamin 03:18:00 Add Comment
Mr. Wicklif M. Benjamin
 Watu hucheua kile walichokula, ndivyo ilivyo kwenye ufahamu, ukiingiza ujinga utacheua ujinga, ukiingiza Neno utacheua Neno. Hakuna neutral...
Read More
Unanyenyekea au unajikweza?

Unanyenyekea au unajikweza?

Mr. Wicklif M. Benjamin 03:16:00 Add Comment
Mr. Wicklif M. Benjamin
 UNYENYEKEVU ✍🏻📚 Moja ya madarasa ambayo huenda yakakupelekea kujiona kama unaonewa, huheshimiwi, huthaminiwi ni dasara la unyenyekevu. Ku...
Read More
Maisha tunayoishi Kanisani, tuyaishi na katika jamii inayotuzunguka

Maisha tunayoishi Kanisani, tuyaishi na katika jamii inayotuzunguka

Mr. Wicklif M. Benjamin 03:14:00 Add Comment
Mr. Wicklif M. Benjamin
Namna tunaishi na jamii ya kanisani ingefanana na namna tunaishi na jamii inayotuzunguka nje ya kanisa tusingehitaji kushuhudia, kwa matendo...
Read More
Kila mmoja wetu anaudhaifu wake, tuchukuliane na tubebeane mizigo

Kila mmoja wetu anaudhaifu wake, tuchukuliane na tubebeane mizigo

Mr. Wicklif M. Benjamin 03:10:00 Add Comment
Mr. Wicklif M. Benjamin
 *KUCHUKULIANA* Ukweli ni kwamba Kila mmoja anao udhaifu. Ni nini unafanya pale unaposikia/ unapotambua udhaifu wa Rafiki yako? Je unamuacha...
Read More
Tufurahi katika Bwana sikuzote

Tufurahi katika Bwana sikuzote

Mr. Wicklif M. Benjamin 03:08:00 Add Comment
Mr. Wicklif M. Benjamin
Hatufurahi katika hali tunayopitia Bali tunafurahi katika Bwana. Furaha yetu haizalishwi na mambo kuwa shwari au kutokua shwari,  Furaha yet...
Read More
Subscribe to: Comments (Atom)

Judith Mbilinyi

Ashery Willy

Sound of worship

Matangazo

Popular

  • Kila unaujaza moyo na akili yako ndicho utakachotoa
     Watu hucheua kile walichokula, ndivyo ilivyo kwenye ufahamu, ukiingiza ujinga utacheua ujinga, ukiingiza Neno utacheua Neno. Hakuna neutral...
  • Judith Mbilinyi aja na Audio CD mpya
    Mwimbaji chipukizi wa nyimbo za injili hapa nchini Tanzania 🇹🇿 , amezindua albamu iitwayo "MAISHA YANGU" katika mfumo wa audio. ...
  • Eunice Mtanvu
       Artist   : Eunice Mtavu Song    : Ahsante Yesu Album : Sikiliza Hapa: Download
  • UNAWEZAJE KUTENGENEZA NA KUKUA KATIKA MSAMAHA (Sehemu ya Tatu)
    UNAWEZAJE KUTENGENEZA NA KUKUA KATIKA MSAMAHA (Sehemu ya Tatu)
    Mfumo wa maisha tunaouishi kila siku, unatufanya tusiwe na chaguo jingine zaidi ya kujifunza msamaha na kusamehe na hatimae kila siku kuifan...
  • Maisha tunayoishi Kanisani, tuyaishi na katika jamii inayotuzunguka
    Namna tunaishi na jamii ya kanisani ingefanana na namna tunaishi na jamii inayotuzunguka nje ya kanisa tusingehitaji kushuhudia, kwa matendo...
  • Judith Mbilinyi_Jina la Yesu
    Judith Mbilinyi_Jina la Yesu
    Wimbo mpya wa kwake Judith Mbilinyi sasa uko katika media mbalimbali. Mwaka jana ulimalizika kwa kazi mbili ambazo zote zilifanya vizuri. Mo...
  • USCF Mwenge Catholic University_Umekuwa mzima
    USCF Mwenge Catholic University_Umekuwa mzima
    Jina       :  USCF Mwenge Catholic University Wimbo : Umekuwa mzima Album  : Umekuwa mzima Pakua Waachie maoni yako hapa...
  • KUSUDI I
    KUSUDI I
  • Uaminifu
    Uaminifu
    Na Judith Mbilinyi  Praise the living God🙌🙌🙌  Kuna kitu nataman kushare pamoja  hapa.. Nimesikia mzigo Sana kukisema.. Naamini Kuna mt...
  • UTAKATIFU
    Na Mwalimu Elishama Hubi Utangulizi Ndugu Mpendwa neno Mtakatifu ni pana sana kulifahamu, na kila MTU analijua kwa namna yake huyu hivi ...

Tujadili

Followers

Total Pageviews

Copyright © 2017 SOW All Right Reserved
Blogger Templates Created by Arlina Design Powered by Blogger