Nimegundua katika maisha, njia tuiendeayo ni Mungu pekee anayeijua.... kuna leo yetu ambayo miaka kadhaa nyuma hakukua na mazingira yenye...
Read More

Tusijihubiri sisi, tumhubiri Kristo
Tukijihubiri sisi tunaamsha hisia za watu ambazo Baada ya muda hupotea. Tukimuhubiri Kristo, hatuamshi hisia ila huleta wokovu kwa kila ana...
Read More
TUSIHUBIRI INJILI KWA HASIRA
Mungu mwenyewe aliichukia dhambi lakini hajawahi kutumia ukali kuiondoa dhambi. Kwa upendo alimtoa Yesu ili aziondoe dhambi zetu. Ikiwa Mu...
Read More
Kila unaujaza moyo na akili yako ndicho utakachotoa
Watu hucheua kile walichokula, ndivyo ilivyo kwenye ufahamu, ukiingiza ujinga utacheua ujinga, ukiingiza Neno utacheua Neno. Hakuna neutral...
Read More
Unanyenyekea au unajikweza?
UNYENYEKEVU ✍🏻📚 Moja ya madarasa ambayo huenda yakakupelekea kujiona kama unaonewa, huheshimiwi, huthaminiwi ni dasara la unyenyekevu. Ku...
Read More
Maisha tunayoishi Kanisani, tuyaishi na katika jamii inayotuzunguka
Namna tunaishi na jamii ya kanisani ingefanana na namna tunaishi na jamii inayotuzunguka nje ya kanisa tusingehitaji kushuhudia, kwa matendo...
Read More
Kila mmoja wetu anaudhaifu wake, tuchukuliane na tubebeane mizigo
*KUCHUKULIANA* Ukweli ni kwamba Kila mmoja anao udhaifu. Ni nini unafanya pale unaposikia/ unapotambua udhaifu wa Rafiki yako? Je unamuacha...
Read More
Tufurahi katika Bwana sikuzote
Hatufurahi katika hali tunayopitia Bali tunafurahi katika Bwana. Furaha yetu haizalishwi na mambo kuwa shwari au kutokua shwari, Furaha yet...
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)