Ukweli ni kwamba hakuna siku ulimwengu utakupa muda kufocus na mambo ya Mungu. Ulimwengu unachofanya ni kukuweka busy na kukuonesha kwamba ...
Read More
Showing posts with label PACKAGE OF TODAY. Show all posts
Showing posts with label PACKAGE OF TODAY. Show all posts
Jinsi ulivyo ni tofauti na unavyotambulishwa na ulimwengu
π½πππ π π‘π’πππ£π¦π πΏππ ππ ππππ¦π’ππ πππππ π ππ π’π‘ππππ’πππ βπ ππππ¦π πππππ π’ππππ€ππππ’ π’π...
Read More
Usijihofie, hauishi kwa uwezo wako
Salamu za mwaka mpya 2025 kutoka kwa Judith Mbilinyi "Kuweka mikakati kwa mwaka mpya ni moja ya mchakato ambao sio kila mmoja huweza ...
Read More
Ukijua jinsi Mungu anakupenda, utapenda wengine
Hatuwezi kuwapenda wengine kama Mungu anavyotupenda ikiwa hatujui vile Mungu anavyotupenda Kuwapenda wengine Kama Mungu anavyotupenda kunaa...
Read More
PACKAGE OF TODAY: Majira ya Mungu Kwa mwanadamu ndiyo sahihi
Haijalishi uzuri wa jambo, likifanyika nje ya majira uzuri wake huathiriwa. Majira ya Mungu kwa mwanadamu ni sahihi na yamebeba matokeo cha...
Read More
Package of Today: Jifunze kujikumbusha wema wa Mungu
Kujiwazia vibaya hakuondoi hali yoyote mbaya unayoipitia, ila huongeza uchungu Mara dufu kuliko awali. Jifunze kujikumbusha Wema wa Mungu ha...
Read More
PACKAGE OF TODAY: Amani ya pekee haiko kwenye vitu
Amani isiyozalishwa na wingi wa vitu tunavyovimiliki yapatikana kwa Yesu pekee. Utoshelevu katika dunia hii haupo kwenye wingi wa vyeo, Ma...
Read More
PACKAGE OF TODAY: Uhalisia wa tabia ya mtu hudhihirishwa na uhusiano alionao
Usiridhike na vile Rafiki yako wa karibu anavyomjibu au kumfanyia vibaya mtu mwingine kwasababu amemzoea au kwasababu ya kumzidi katika n...
Read More
Haijarishi namna watu wamekuja kwako, lipo kusudi
Hakika Yesu hajawahi kuwapitisha watu kwenye maisha yetu kwa hasara. Moja ya jambo tunahitaji ni hekima ya namna ya kuishi na watu ambao Mu...
Read More
Subscribe to:
Posts (Atom)
